Ndugu wadau wa Maonesho ya Nanenane Kitaifa Kanda ya Kusini, Kikao cha wadau kitafanyika tarehe 13 Julai, 2017. Kikao hicho kitafanyika katika Viwanja vya Ngongo – Manispaa ya Lindi kwenye Ukumbi wa Naliendele saa 3 kamili asubuhi. Tafadhali upatapo taarifa hii mjulishe na mwingine. Kama kutakuwa na mabadiliko yoyote tutawajulisha. Ahsante.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.