Kirusi huyu hufungua mafaili katika komputa yako na kukulazimisha kulipa hadi $300 kwa kutumia ‘bitcon’ ili yafunguliwe na hata ukilipa, hakuna uhakika kwamba mafaili yako yatafunguliwa.
Mpaka sasa kirusi hiki kimeshaathiri kompyuta zaidi ya 200,000 katika Nchi 150 duniani.
Kirusi huyu ameleta nadhara kwenye kompyuta zinnazotumia ‘Windows’ na anasambaa kwa kasi kwenye kompyuta ambazo ziko kwenye mtandao ‘network’.
KUJIKINGA
KILA MMOJA ANA WAJIBU WA KULINDA USALAMA WAKE MTANDAONI
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.