• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

TANGAZO KWA WAMILIKI WOTE WA MAENEO KATIKA UWANJA WA MAONESHO YA NANENANE NGONGO - MANISPAA YA LINDI

30 May 2019

Tangazo kwa wamiliki wote wa maeneo uwanja wa Ngongo.

Wamiliki wote wa maeneo ndani ya uwanja wa Nanenane Ngongo - Manispaa ya Lindi wanatakiwa kuanza kuyaandaa maeneo yao kwa ajili ya maonesho ya Nanenane kanda ya kusini 2019 ambayo hufanyika kuanzia tarehe 1-8 Agosti kila mwaka. Wamiliki wote wa vibanda vinavyozunguka uwanja wanatakiwa kumalizia ujenzi wa vibanda na wamiliki wa maeneo wanatakiwa kufanya usafi na kuandaa vipando. Tafadhali zingatia maelekezo haya kwani mwisho wa zoezi hili ni tarehe 15.06.2019 zaidi ya hapo wamiliki hao wa vibanda na maeneo watanyang'anywa maeneo hayo kwa mujibu wa makubaliano yaliyowekwa. Ukipata taarifa hii mjulishe na mwenzako. 

Tunapenda kuwakumbusha wadau wote wa Maonyesho ya Nanenane Kanda ya Kusini kuanza maaandalizi ya vipando vya muda mrefu na wakati kwenye maeneo yao katika viwanja vya maonyesho vya Ngongo. 

Imetolewa na Kamati ya Uwanja, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • ITUO CHA AFYA PANGABOI KUONGEZA KASI YA UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA NACHUNYU

    May 27, 2025
  • MWENGE WA UHURU KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YENYE THAMANI YA BIL 2.7

    May 26, 2025
  • MIRADI 59 YA BILIONII 22.4 KUTEMBELEWA NA MWENGE WA UHURU 2025 MKOA WA LINDII

    May 26, 2025
  • MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU MKOA WA LINDI

    May 25, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.