Thursday 18th, April 2024
@Mkoa wa Lindi
Mwenge wa Uhuru utakimbizwa katika Mkoa wa Lindi kuanzi tarehe 20/06/2018 hadi 25/06/2018 ambapo tarehe 26/06/2018 utakabidhiwa katika Mkoa wa Kusini Unguja. Mkoa wa Lindi utapokea Mwenge toka Mkoa wa Mtwara katika Halmashauri ya Wilaya ya Lindi. Katika Mkoa wa Lindi Mwenge wa Uhuru utakimbizwa katika Halmashauri zake zote.
Ujumbe Mkuu:
Ujumbe wa Kudumu:
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.