Friday 19th, April 2024
@Shule za Sekondari za Lindi, Liwale, Mbekenyera, Mahiwa na Nachingwea.
Jumla ya wanafunzi 643 wa kidato cha sita Mkoani Lindi wanatarajiwa kufanya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita utakaofanyika tarehe 2-19/05/2015. Kwa Mkoa wa Lindi mtihani utafanyika katika shule za sekondari za Lindi, Liwale, Mahiwa, Mbekenyera na Nachingwea ambapo Tahasusi (combination) zilizopo katika shule hizi ni pamoja na HGL, HKL, HGK, EGM, PGM, PCM, PCB na CBG.
Wote kwa pamoja tuwatakie vijana wetu mtihani mwema.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.