Thursday 25th, April 2024
@Ukumbi wa Kagwa - Manispaa ya Lindi
Kampeni ya "Jiongeze Tuwavushe Salama" ina malengo ya kupunguza vifo vya wakinamama wajawazito vitokanavyo na uzazi pamoja na watoto wachanga. Kampeni hii kitaifa ilizinduliwa na Mhe. Samia S. Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kampeni hii kwa mkoa wa Lindi itazinduliwa Mhe. Godfrey W. Zambi, Mkuu wa Mkoa wa Lindi tarehe 30 Novemba, 2018 katika ukumbi wa Kagwa - Manispaa ya Lindi.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.