• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
  • Hospitali ya Rufaa ya Mkoa

NItafanyaje kumuhamisha mwanafunzi?

Upo uhamisho wa aina mbili kwa maana ya uhamisho wa wanafunzi wa Shule za Msingi na Shule za Sekondari

Kwa Shule za Msingi unatakiwa

1. Hatua ya kwanza ni kuanzia ngazi ya shule anayosoma ambapo atajaziwa fomu

2. Upitie kwa Mratibu Elimu Kata wa shule anayotoka apitishe fomu

3. Fomu ya Uhamisho ipitishwe na Afisa Elimu Wilaya

4. Fomu iletwe Mkoani kwa ajili ya kupitishwa na Afisa Elimu Mkoa.

Kwa Shule za Sekondari unatakiwa

1. Andika barua ya kuomba nafasi kwenye Shule unayotaka mwanafunzi ahamie. Kama nafasi ipo barua ikipitishwa;

2. Ipeleke barua kwenye shule anayotoka mwanafunzi ili ipitishwe na Mkuu wa Shule na ikishapitishwa

3. Ipeleke kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri anakotoka mwanafunzi ili naye aipitishe

4. Leta maombi yako hayo kwa Katibu Tawala Mkoa kwa ajili ya kukamilisha taratibu za uhamisho.

Matangazo

  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) 2019 July 11, 2019
  • VIWANJA VIWANJA VIWANJA October 10, 2019
  • KIRUSI CHA 'RANSOMWARE' "Wannacry" / "Wannacryp" May 15, 2017
  • tazama zote

Habari Mpya

  • Zambi awataka viongozi kuchukua hatua kuhusu tatizo la mimba za utotoni

    November 29, 2019
  • Viongozi na watendaji watakiwa kutokuwa kikwazo kwa wawekezaji

    November 28, 2019
  • DC Nachingwea apewa maelekezo akiapishwa

    October 22, 2019
  • Hakikisheni watoto wanapata chanjo - DC Ndemanga

    September 24, 2019
  • tazama zote

Video

ENEO ALILOTOKA MJUSI DINASORIA KUFANYWA KIVUTIO CHA UTALII - LINDI
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.