• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

Sheria

Adv. Albert Mwombeki

Kaimu Mkuu wa Kitengo - Sheria


Kitengo cha huduma za sheria ndio muhimili mkuu katika masuala yote yanayohusu sheria katika Sekretariati ya Mkoa.

Majukumu ya Kitengo

1.Kutoa ushauri na usaidizi wa kisheria kwa Sekretariati ya Mkoa katika kutafasiri sheria, mikataba ya aina zote ambapo Sekretariati ya Mkoa ni sehemu, makubaliano ya kiushirikiano na nyaraka nyingine zote ikiwa ni pamoja na, kuwa kiunganishi kati ya Sekretariati Mkoa na Mkurugenzi wa huduma za Sheria OR-TAMISEMI na Ofisi ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

2.Kushiriki katika mikutano na majadiliano ambayo yanahihitaji au hushirikisha ushauri wa kisheria kwa ushirikiano na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria OR-TAMISEMI na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

3.Kutafasiri sheria na miongozo kwa niaba ya Sekretariati ya Mkoa kwa ushirikiano na mashauriano na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria OR-TAMISEMI na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali

4.Kushirikiana na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria OR-TAMISEMI na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika kuendesha mashauri na madai ambayo Sekretariati ya Mkoa au Halmashauri ni sehemu.

5.Kuratibu upitiaji na uboreshaji wa nyaraka mbalimbali ikiwemo mikataba, makubaliano, maagizo, miongozo na nyaraka za makabidhiano ambapo Sekretariati ya Mkoa na Halmashauri ni sehemu.

6.Kusimamia, kuratibu na kutoa maoni juu ya sheria na miongozo na kanuni zinazohusu Halmashauri.

7.Kusaidia kupitia na kutoa mapendekezo kwenye taarifa na nyaraka za Halamshauri zinazohusu au kuhusisha masuala ya kisheria pamoja na kuzijulisha mamlaka za juu pale inapobidi.

8.Kushiriki na kuwa sehemu ya badhi ya bodi za kudumu, kamati na vikosi kazi kwa ajili ya kazi maalumu.

9.Kutekeleza majukumu mengine kadiri itakavyo amriwa au elekezwa na Mwajiri.

Matangazo

  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2018 NA MPANGILIO WA MIKOA NA HALMASHAURI/MANISPAA KWA UBORA WA UFAULU January 04, 2019
  • TANGAZO KWA WAMILIKI WOTE WA MAENEO KATIKA UWANJA WA MAONESHO YA NANENANE NGONGO - MANISPAA YA LINDI December 14, 2018
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (STNA) 2018 NA MPANGILIO WA MIKOA NA HALMASHAURI/MANISPAA KWA UBORA WA UFAULU January 04, 2019
  • KIRUSI CHA 'RANSOMWARE' "Wannacry" / "Wannacryp" May 15, 2017
  • tazama zote

Habari Mpya

  • Mhe. Zambi: Tumieni fedha za TASAF kujikwamua kiuchumi.

    January 02, 2019
  • Wakulima wa korosho wahakikishiwa malipo yao

    November 22, 2018
  • Manispaa ya Lindi yatakiwa kuboresha uwanja wa Illulu

    November 21, 2018
  • Mhe. Majaliwa: Fanyeni kazi kwa ushirikiano

    November 20, 2018
  • tazama zote

Video

Lindi yatoa eneo kwa ajili ya ujenzi wa Tawi la Chuo Kikuu cha Taifa cha Usafirishaji
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.