• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

Uchumi na Uzalishaji

Ndg. Majid Myao

Katibu Tawala Msaidizi - Uchumi na Uzalishaji


Sehemu ya Uchumi na Uzalishaji ina lengo la kutoa uwezeshaji wa kitaalamu kuhusu sekta za uchumi na uzalishaji kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa katika Mkoa. Seksheni hii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa


Majukumu ya Sehemu

•Kuratibu utekelezaji wa sera za Kilimo, Mifugo, Ushirika, Misitu, Uhifadhi, Uvuvi, Viwanda, Biashara na Masoko katika Mkoa

•Kuzijengea uwezo Mamlaka za Serikali za Mitaa katika Mkoa katika kutoa huduma kwenye nyanja za Kilimo, Mifugo, Ushirika, Misitu, Uhifadhi, Uvuvi, Viwanda, Biashara na Masoko

•Kuzisaidia na kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa juu ya teknolojia zinazofaa na za gharama nafuu katika sekta za uchumi na uzalishaji

•Kusajili vyama/vikundi vya ushirika katika Mkoa

•Kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika juu ya uanzishaji/uimarishaji na ukaguzi wa vyama vya Ushirika na Akiba na Mikopo

•Kusaidia na kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa juu ya kuzisimamia kampuni ndogo na za kati

•Kuzisaidia na kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kutambua maeneo nyeti ya uwekezaji

•Kuzisaidia na kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kuendeleza na kukuza sekta ya uvuvi na kuzalisha kisasa 

•Kusimamia, kuratibu na kuwezesha masuala yanayohusiana na misitu katika Mkoa

•Kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika usimamizi wa sheria za kulinda wanyamapori 

•Kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kuendeleza maeneo ya wanyamapori

•Kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kusimamia utalii, idadi ya wanyamapori na mienendo yao/safari zao

•Kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kutekeleza sheria ya Mazingira No. 2 ya mwaka 2004

•Kutoa ujuzi wa kitaalamu kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa kwenye masuala yanayohusiana na maeneo/miradi ya umwagiliaji

•Kuratibu utekelezaji wa uboreshaji wa taratibu za biashara katika Mkoa 


Watumishi wanaohusika na Sehemu hii ni:-

1.Maafisa Kilmo, 2. Wahandisi Kilimo, 3. Maafisa Uvuvi, 4. Maafisa Mifugo, 5.Maafisa Ushirika, 6. Afisa Biashara, 7. Afisa Misitu, 8. Afisa Wanyamapori, 9.Afisa Mazingira, 10. Afisa Nyuki.

Matangazo

  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) 2019 July 11, 2019
  • VIWANJA VIWANJA VIWANJA October 10, 2019
  • ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2020 December 07, 2019
  • KIRUSI CHA 'RANSOMWARE' "Wannacry" / "Wannacryp" May 15, 2017
  • tazama zote

Habari Mpya

  • Zambi awataka viongozi kuchukua hatua kuhusu tatizo la mimba za utotoni

    November 29, 2019
  • Viongozi na watendaji watakiwa kutokuwa kikwazo kwa wawekezaji

    November 28, 2019
  • DC Nachingwea apewa maelekezo akiapishwa

    October 22, 2019
  • Hakikisheni watoto wanapata chanjo - DC Ndemanga

    September 24, 2019
  • tazama zote

Video

Viongozi wazungumza wakati wa utangazaji wa wanafunzi wa waliochaguliwa kujiunga form I 2020
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.