Ndg. Greyson H. Mwaigombe
Katibu Tawala Msaidizi -
Utawala na Rasilimali Watu
Seksheni hii ina lengo la kuziwezesha Seksheni nyingine kutimiza majukumu yake, kutoa utaalamu na huduma mbalimbali zinazohusiana na usimamizi wa Rasilimaliwatu na Utawala kwenye Sekretarieti ya Mkoa. Seksheni hii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa.
Majukumu ya Seksheni ya Utawala na Rasilimali watu:
Watumishi wanaohusika na Sehemu hii ni:-
1. Maafisa Tawala
2. Afisa Utumishi
3. Afisa Habari
4. Makatibu Muhtasi
5. Makarani wa Masijala
6. Madereva
7. Wasaidizi wa Ofisi
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.