Monday 9th, September 2024
@Uwanja wa Michezo-Liwale
Kuelekea katika Maadhimisho ya Sherehe ya Miaka 60 ya Uhuru, Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab telack anawakaribish wananchi wote wa Mkoa wa Lindi kuungana pamoja kwenda kuadhimisha sherehe ya Miaka 60 ambayo kimkoa yatafanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Liwale kwenye uwanja wa Michezo Tarehe 08/12/2021 na Kitaifa yatafanyika katika Mkoa wa Dar es salaam katika uwanja wa Uhuru tarehe 09/12/2021
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.