• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

BALOZI WA JAPANI NCHINI TANZANIA AKUTANA NA MHE. TELACK NA KUFANYA MAZUNGUMZO KUHUSU UWEKEZAJI

Posted on: June 16th, 2023

Balozi wa Japani nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa jana  tarehe 15 Juni 2023 amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack na kufanya nae mazungumzo kuhusu fursa mbalimbali za uwekezaji za Mkoa wa Lindi.

Mhe. Telack amemkaribisha Balozi Misawa ofisini kwake Mkoani Lindi mapema Leo baada ya Kiongozi huo wa kimataifa kuwasili Mkoani Lindi kwa ziara ya Siku moja.

Katika mazungumzo yao, Mhe. Telack amemueleza Balozi. Msawa fursa za uwekezaji zilizopo Mkoani Lindi ikiwemo uzalishaji mkubwa wa ufuta bora unaojulikana kama Lindi White. Amesema kuwa Kati ya ufuta wote unaozalishwa Tanzania, Mkoa wa Lindi unaozalisha takribani theluthi mbili ya ufuta wote.

Mhe. Telack amemueleza Balozi. Misawa kuwa sekta ya Kilimo ina fursa kubwa ya Uwekezaji hasa kwenye kuchakata mazao ya biashara yanayolimwa Mkoani Lindi ikiwemo ufuta pamoja na korosho.

Pamoja na fursa za kilimo, Mhe. Telack amemueleza mgeni wake juu ya uwepo wa fursa za madini, uvuvi, kilimo cha mwani na utalii.

Kwa upande wake, Balozi. Misawa amesema kuwa amefurahishwa na ubora wa ufuta unaozalishwa Mkoani Lindi kwani amezisikia sifa zake nzuri.

Aidha, Balozi . Misawa amevutiwa kwa kiasi kikubwa na fursa  za uvuvi hasa katika Wilaya ya Kilwa ambapo amesema kuwa kama uwekezaji utafanyika katika kuboresha Teknolojia za uvuvi na miundombinu ya kuhifadhia samaki, sekta ya uvuvi itakuwa na matokeo makubwa

Balozi. Misawa amehitimisha ziara yake Mkoani Lindi ambapo pamoja na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa pia ametembelea ghala kuu la Moledina lililopo Lindi Mjini qna kujionea shughuli ya ukusanyaji wa ufuta kutoka vyama vya Msingi vya Lindi Mwambao. Pia amepata nafasi ya kukitembelea Chuo cha Ufundi Stadi, VETA na kujionea programu za mafunzo zinazotolewa na chuo hicho.













ReplyForward






Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • UJENZI WA UDSM TAWI LA LINDI WAFIKIA 45%, RC TELACK APONGEZA NA KUSISITIZA KASI NA UBORA WA UJENZI

    May 05, 2025
  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.