• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

CHUO CHA BAHARI KUJENGWE KIKWETU LINDI

Posted on: August 20th, 2024

Mafisa kutoka Chuo cha Bahari Dar es salaam (DMI)  wakiongozwa na Mkuu wa Chuo Dkt. Tumain Gurumo wamemweleza  Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack juu ya ujio wao Mkoani humo kuhusu  kuendesha Mafunzo ya elimu ya usalama  kwa wavuvi zaidi ya 10 na mpango Mkakati wa kujenga tawi la Chuo Cha Bahari Dar Es Salaam (DMI) eneo la kikwetu.

Hayo, wameyaeleza walipomtembelea Mkuu wa Mkoa wa Lindi Ofisini kwake, Agosti 20, 2024 kwa lengo la kujitambulisha na kutambulisha programu yao .


Maafisa wanatarajia kuendesha mafunzo ya kampeni ya utoaji elimu ya usalama kwa wavuvi zaidi ya elfu 10 wanaofanya shughuli zao za uvuaji wa samaki katika Mkoa wa Lindi ili kufikia lengo la kuleta ufahamu juu ya masuala ya usalama wa baharini kwa wavuvi na wananchi kwa ujumla.


Wakieleza mpango wa ujenzi wa chuo hicho, wamewasilisha ombi la kuongezewa eneo kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za watumishi, ambapo wametakiwa kuiandikia barua Manispaa ya Lindi kwa ajili ya utekelezaji.


Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack amepongeza kampeni ya  kutoa elimu ya usalama kwa wavuvi na  mchakato wa ujenzi wa chuo cha bahari, kwani chuo hicho kitakuwa na tija kubwa kwa wananchi wa Lindi na watanzania kwa ujumla .


"tunabahari ambayo bado hatujavuna matunda yake vizuri kama ambavyo tunavuna katika kilimo , chuo hicho naamini kitaleta mabadiliko chanya kwa wananchi " Mh. Telack


Maafisa wa DMI wataendelea na mafunzo kwa muda wa wiki moja ndani ya Mkoa wa Lindi.


UJENZI WA BANDARI YA UVUVI YA KISASA WAFIKIA 72% WILANI KILWA LINDI.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • RC TELACK AKABIDHI TUZO ZA ELIMU KWA WALIMU,WANAFUNZI NA HALMASHAURI ZILIZOFANYA VIZURI MKOANI LINDI.

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.