PAKUA FOMU: FOMU YA MAOMBI YA MWANDAJI WA MAUDHUI.pdf
FOMU YA MAOMBI YA USAJILI WA WAANDAAJI WA MAUDHUI MTANDAONI
02 February 2026
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi inawatangazia
waandaaji wote wa maudhui mtandaoni waliopo Mkoa wa Lindi kuwasilisha maombi ya usajili kupitia fomu
maalum iliyotolewa kwa ajili hiyo.
Fomu ya maombi inaweza:
Afisa Habari anapatikana Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi.
Barua pepe rasmi ya kuwasilisha maombi:
maudhui@michezo.go.tz
Zoezi la usajili limeanza: 30 Januari 2026
Zoezi la usajili linaisha: 15 Februari 2026
Maombi yote yawasilishwe kwa kuzingatia maelekezo yaliyotolewa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.