• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

KIONGOZI WA MWENGE WA UHURU AUPONGEZA UONGOZI WA WILAYA YA RUANGWA KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI

Posted on: April 13th, 2023

Kiongozi wa Mbio za Mwenge Ndg. Abdalla Shaib Kaim amewapongeza Viongozi wa Wilaya ya Ruangwa kwa kazi nzuri ya Usimamizi wa Miradi.

Ndg. Kaim ametoa pongezi hizo jana Jumatano wakati Mwenge wa Uhuru ulipofika na kukagua jumla ya miradi 7 ya maendeleo yenye thamani ya Tsh. Bilioni 2.4 katika Wilaya ya Ruangwa.

Akifungua barabara yenye urefu wa 1.051 ya NHC iliyojengwa katika kata ya Nachingwea kwa kiwango cha lami kwa thamani ya fedha Tsh. 562,196,293.33 , Ndg. Kaim amesema kuwa viongozi wa Wilaya ya Ruangwa wameonesha umahili mkubwa katika kusimamia miradi ya maendeleo. 

Ndg. Kaim ameongeza kuwa ubora wa miradi unatokana na uongozi imara unaosimamia utekelezaji wa Miradi hiyo. Ametoa pongezi kwa Wakala wa Barabara, Vijijini TARURA kwa ubora mzuri wa Miradi wanayoisimamia.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe. Hassan Ngoma amesema kuwa pamoja na uongozi mzuri wa Wilaya lakini usimamizi mzuri wa miradi unatokana na ushirikishwaji dhabiti wa wananchi katika utekelezaji wa miradi hiyo.

Mhe. Ngoma amezungumza hayo mbele ya Kiongozi wa mbio za Mwenge pamoja na wananchi katika zoezi la uwekaji jiwe la msingi kwenye jengo la OPD, Maabara na Kichomea taka katika Kituo cha Afya Namichiga iliyopo kijiji cha Namichiga B, Wilaya ya Ruangwa.

Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Ruangwa umekimbizwa jumla ya kilomita 118 na kuweka mawe ya msingi katika Kituo cha Afya Namichiga, mabweni mawili ya Shule ya Sekondari Lucas Malia iliyopo kijiji cha Ng'au pamoja na  mradi wa upanuzi wa skimu ya maji Mandawa.

Pia umetembelea jumla ya shughuli na miradi 6 ikiwemo mapambano dhidi ya madawa ya kulevya, mradi wa lishe, mapambano dhidi ya rushwa, uhifadhi wa chanzo cha maji na mazingira, pamoja na mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI na Malaria.

Mbio za Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Ruangwa zimehitimishwa jana Jumatano ambapo leo alhamisi  Wilaya ya Lindi imekabidhiwa Mwenge kuukimbiza katika Manispaa ya Lindi.
















Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • RC TELACK AKABIDHI TUZO ZA ELIMU KWA WALIMU,WANAFUNZI NA HALMASHAURI ZILIZOFANYA VIZURI MKOANI LINDI.

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.