• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

MAENDELEO LINDI, MIAKA 60 YA UHURU.

Posted on: December 9th, 2021


Katika kusheherekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mh. Bi Zainab Telack amewataka wananchi kujivunia mafanikio yaliyopatikana katika mkoa na kuipongeza serikali kwa jitihada mbalimbali za maendeleo zilizofanyika tangu nchi ipate uhuru.

Mkuu wa mkoa ameyasema hayo katika sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika kimkoa katika halmashauri ya wilaya ya Liwale, Uwanja wa michezo  ambapo  amesema serikali imejitahidi kuleta maendeleo katika sekta mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara kwa viwango vya lami pamoja  na usimamizi mzuri uliowekwa na serikali katika kuhakikisha  wakulima wa mazao ya korosho na ufuta hawakumbani na changamoto zozote katika  kilimo.

‘‘Kwa mwaka 2019 pekee, sh. bilioni 167 zimepatikana  katika mauzo ya korosho huku zao la ufuta likiingiza sh. bilioni 123 hivyo usimamizi mzuri wa mauzo katika mazao haya ya biashara yamefanya kuongezeka kwa kipato cha wananchi wa Lindi vilevile mapato ya halmashauri zote za Mkoa wa Lindi, hivyo tuna mengi mazuri ya kujivunia sisi kama mkoa katika miaka 60 ya Uhuru’’

Katika sekta ya elimu Mh. Telack amesema  ‘‘ Kipekee naomba niipongeze serikali yangu ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuleta fedha zaidi ya sh. Bilioni 8.1 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa vya kisasa 401 na bweni moja ili kila mwanafunzi na mwalimu awe katika mazingira rafiki ya kujifunza, kujifunzia na kufundisha’’

Aidha, katika sekta ya maji Mkuu wa Mkoa ameeleza kuwa mkoa wa Lindi unaadhimisha miaka 60 ya Uhuru kwa kuendeleza kampeni ya kumtuma mama ndoo kichwani ambapo mkoa umefanikisha upatikanaji wa maji katika maeneo ya mijini kwa asilimia 76 na vijijini kwa asilimia 68.75.

‘‘Serikali yetu chini ya uongozi wa rais Samia Suluhu inakamilisha ununuzi wa magari ya kuchimba visima ambavyo vitatumika na hapa kwetu Lindi ili tuweze kutatua kero na changamoto mbalimbali za upatikanaji wa maji hasa katika maeneo ya vijijini’’ ameongeza.


Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • RC TELACK AKABIDHI TUZO ZA ELIMU KWA WALIMU,WANAFUNZI NA HALMASHAURI ZILIZOFANYA VIZURI MKOANI LINDI.

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.