• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

MAWAZIRI WA KISEKTA WATOA MAAMUZI MIGOGORO YA ARDHI MKOANI LINDI

Posted on: December 29th, 2022

Kamati ya Mawaziri wa Kisekta imewasilisha Maamuzi ya Baraza la Mawaziri kuhusiana na utatuzi wa migogoro ya matumizi ya ardhi katika vijiji 975 na kupiga marufuku ufanyaji za shughuli za kibinadamu katika maeneo ya hifadhi ya msitu wa Nyengedi na Pori la Akiba la Selous mkoani Lindi.

Akizungumza katika kikao kilichowakutanisha Mawaziri wa Kisekta na wataalamu wa mkoa, mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe Dkt. Angelina Mabula, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi  amesema

“Hivi vijiji vina maeneo ya kutosha katika vijiji vyao lakini chakushangaza ni kwamba hawaridhiki na maeneo waliyonayo hawajaweza kuyalima yote na kuyamaliza na bado wanaingia katika hifadhi wanafanya kilimo na kurudi kijijini, sasa kuanzia leo Mhe Mkuu wa Mkoa vijiji hivyo haviruhusiwi kuingia kwenye maeneo ya hifadhi na kufanya shughuli zao za kilimo, wanaharibu vyanzo vya maji na ekolojia nzima ya viumbe na maeneo yetu,kuna vijiji viwili vyenyewe vitabaki ndani ya hifadhi na vitabaki na hadhi yake kwasababu tayari havina migogoro katika maeneo hayo”

Aidha, Dkt Mabula amevitaja vijiji hivyo kuwa ni Chiodya A na Chiodya B, Mihango, Mtauna, Mnara na Mkanga ambavyo vinapakana na hifadhi ya msitu wa Nyengedi pamoja na vijiji vya Zinga Kibaoni, Mtepera na Kikulyungu ambavyo vinapakana  na Pori la Akiba la Selous.

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe Zainab Telack amewataka wakulima kuacha kilimo cha kuhamahama na wafugaji kutumia kikamilifu maeneo waliyotengewa “ Sisi kama mkoa tulishatenga maeneo maalumu ya wafugaji kwa ajiri ya kufanya shughuli zao za ufugaji katika kila halmashauri na tulishaanza mchakato wa ujenzi wa marambo kwa ajiri ya kuhakikisha upatikanaji wa maji kwa mifugo hasa kipindi cha kiangazi, tumeendelea pia kuhamasisha wananchi wetu kulima katika mashamba ambayo tayari wanayo ili kuepusha hii migogoro ya ardhi na uvamizi katika hifadhi”

“Bado kuna ardhi ya kutosha katika vijiji vyetu, ardhi ambayo bado ni mpya na nzuri inafaa kwa kilimo kwakweli hatuna sababu ya kugombea ardhi kwasababu bado tunayo ipo ya kutosha” ameongeza Mkuu wa Mkoa.  

 

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • VIJIJI VYOTE 523 LINDI VYAPATA UMEME

    May 06, 2025
  • UJENZI WA UDSM TAWI LA LINDI WAFIKIA 45%, RC TELACK APONGEZA NA KUSISITIZA KASI NA UBORA WA UJENZI

    May 05, 2025
  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.