• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

Posted on: May 2nd, 2025

Katika jitihada  za kuhakikisha kiwango cha ufaulu kinaongezeka na utoaji  wa elimu bora kwa wanafunzi unazingatiwa , Mkoa wa Lindi kwa kushirikiana  na  Halmashauri zake umeazimia kutoa na kuinua elimu  kwa wanafunzi  wote . Ili  kufanikisha azma hii, Mkoa umeandaa Mpango Mkakati wa Elimu  kwa mwaka 2025  ambapo umebainika mfumo wa Shirikishi wa ufuatiliaji  katika sekta  ya Elimu wenye kuanisha changamoto 14.


Hivyo, Leo Mei 2, 2025 Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack amezindua Mpango Mkakati wa Elimu 2025 huku akisisitiza walimu na wasimamizi wa sekta za Elimu kusimamia utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Elimu wa mwaka 2025 ili kuendelea kuboresha Elimu na ufaulu wa Mkoa katika Mitiani na pimaji za Kitaifa kwa mwaka 2025.


Mpango wa Mkakati wa Elimu 2025 unakwenda kuongeza hamasa na chachu kwa wadau wa elimu kwa kuimarisha mifumo mbalimbali ya utendaji wa kazi kama vile utoaji wa taarifa na takwimu, Uteuzi wa walimu viongozi walio madhubuti na ufuatiliaji shirikishi  wa ufundishaji , usimamizi wa utekelezaji wa mfumo wa utendaji wa kazi , utoaji wa huduma bora kwa walimu na wanafunzi, kuwa na malengo ya ufundishaji unaojenga maana, kuongea  na kuwa karibu na wanafunzi , walimu na wazazi, kuwaelimisha wadau wa elimu kuyatambua majukumu yao na kutimiza  wajibu wao kikamilifu ili kuleta ufanisi katika mkoa wa Lindi na kuratibu na kusimamia ubora wa upimaji wa mitihani iliyoandaliwa kuanzia ngazi ya shule , kata , wilaya na Mkoa.


kwa kuzingatia maelekezo ya Miongozo mitatu ya elimu iliyozinduliwa Agosti, 2022, Mikataba ya utendaji kazi na maelekeo ya Mpango Mkakati wa Elimu wa mwaka 2025 ikiwa ni sehemu ya kufanya tathmini na ufuatiliaji wa namna ya ufundishaji na ujifunzaji shuleni.


Akizungumza kabla ya kuzindua na  kuwakabidhi mpango Mkakati wa Elimu Mkoa wa Lindi 2025 waheshimiwa wakuu wa Wilaya, Mhe. Telack amesisitiza  ushirikiano katika kufanikisha mpango huo.


"Nitoe wito kwa wakuu wa Wilaya kuhakikisha wanasimamia kwa ufanisi utekelezaji wa mpango huu kwa kushirikiana na wakurugenzi wa Halmashauri, Maafisa Elimu, Walimu, Wazazi pamoja na wadau  wengine " Mhe. Zainab Telack

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • RC TELACK AKABIDHI TUZO ZA ELIMU KWA WALIMU,WANAFUNZI NA HALMASHAURI ZILIZOFANYA VIZURI MKOANI LINDI.

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.