• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

MHE. ZAINAB R. TELACK AWAONDOA HOFU WANANCHI WA LINDI KUHUSIANA NA CHANJO YA CORONA

Posted on: August 3rd, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab R. Telack leo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sokoine alizindua uchomaji wa chanjo ya kuzuia maambukizi ya ugongwa wa UVIKO-19 kwa Mkoa wa Lindi na  amewaeleza wananchi kuwa chanjo hiyo iliyotolewa na Serikali imepitia kwenye mamlaka zote za uhakiki ubora hivyo ina viwango sahihi na ina ubora mzuri. Amewaomba wananchi kutosikiliza maneno ya upotoshaji na badala yake wajitokeze kwa wingi kupatiwa chanjo hii ili wapate kinga kwa ajili ya maisha yao pia amewakumbusha wananchi  kwamba kuchoma chanjo ni hiari ya mtu.  " Nawasihi kujitokeza kupata chanjo katika vituo vya Hospitali ya Sokoine, Kituo cha Afya cha Mnazi Mmoja, Kituo cha Afya cha Mjini, Kituo cha Afya cha Kitomanga kwa Manispaa chanjo ni chache tuwahi", amesema Mhe. Zainab R. Telack.

Pamoja na maelezo hayo, Mhe. Mkuu wa Mkoa amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Lindi kuwa chanjo zimesambazwa kwenye Wilaya zote za Mkoa wa Lindi na zitatolewa kwenye vituo vilivyotangazwa. Pia amewaomba viongozi wa dini, Serikali na taasisi mbalimbali kuwaeleza wananchi kuhusu kuchukua tahadhari zote kwa kunawa mikono na sabuni, kuvaa barakoa, kufanya mazoezi na kuepuka misongamano isiyokuwa ya lazima.

Dawa ya chanjo imetolewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mikoa ya yote baada ya uzinduzi wa kitaifa uliofanywa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 28 Julai 2021 ikiwa ni jitihada ya kupambana na ugonjwa hatari wa UVIKO -19 unaoisumbua nchi na dunia kwa ujumla.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • RC TELACK AKABIDHI TUZO ZA ELIMU KWA WALIMU,WANAFUNZI NA HALMASHAURI ZILIZOFANYA VIZURI MKOANI LINDI.

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.