• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

RAS LINDI AKAGUA UJENZI WA JENGO LA HALMASHAURI YA MTAMA.

Posted on: February 25th, 2023

Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Ndg Ngusa Samike amefanya ziara katika Halmashauri ya wilaya ya Mtama na kufanya ukaguzi katika mradi wa ujenzi wa jengo la ofisi za Halmshauri ya Mtama ambao unatekelezwa na Mkandarasi wa Suma JKT kwa gharama ya TZS 3.77 Bilioni.

Utekelezaji wa mradi huo ulianza rasmi mwezi Novemba 2021 na ulitarajiwa kukamilika Novemba 2022 lakini kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kuchelewa kwa malipo ya mkandarasi cheti namba moja na mbili pamoja na kubomoka kwa msingi kwa kujaa maji kulikotokana na ucheleweshwaji wa kazi hivyo Halmashauri iliingia mkataba wa pili na Mhandisi Mshauri ambaye ni BICO kwa gharama ya TZS 154,000,000.

Katibu Tawala wa Mkoa amemtaka mkandarasi kukamilisha  mradi huo katika miezi sita ya nyongeza aliyopewa "Serikali imejitahidi kuleta fedha ili kuwasaidia watumishi kupata ofisi nzuri zitakazowasaidia kutoa huduma kwa wananchi kwa urahisi na kuwapunguzia lakini pia itasaidia kupunguza usumbufu na adha kwa wananchi kutembea umbali mrefu wanapowahitaji wataalamu ambao kwa sasa wapo maeneo tofauti tofauti, niwatake sasa kwa muda wa miezi sita ambao mumeomba kuongezewa mjitahidi na kuongeza nguvu kazi hawa watu waliopo hapa site hawatoshi na hatuwezi kufikia lengo hapa  tusidanganyane"

Aidha, Katibu Tawala wa Mkoa amesisita ubora na uimara wa majengo kulingana na thamani ya fedha inayotumika pamoja na utumiaji wa rasilimali ambazo zinapatikana ndani ya  Halmashauri kiurahisi ili kufikia malengo ya miradi na pia kupunguza matumizi ya fedha yasiyo na ulazima ili fedha hiyo iweze kutumika katika miradi mingine ya maendeleo ndani ya Halmashauri.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Ndg. George Mbilinyi amesema kuwa kukamilika kwa ujenzi huo utasaidia kurahisisha utoaji wa huduma kwa wananchi wa Mtama pamoja na usimamizi wa watumishi wanapokuwa katika majukumu yao ya kazi.

"Tunapoenda kukamilisha huu mradi maana yake tunaenda kuwarahisisha wananchi kupata huduma katika eneo moja, kuliko sasa hivi mwananchi anaweza kutembea hadi kilometa 4 kutoka ofisi ya Mkurugenzi kufata huduma katika idara nyingine kama maendeleo ya jamii lakini pia itanirahisisha hata mimi kufuatilia utendaji kazi wa watendaji wangu katika halmshauri kwasababu kwa sasa muda mwingine inaniwia vigumu kumfatilia mtumishi ambaye ofisi yake ipo kilometa 4 kutoka hapa kujua kama amefika ofisini au la"Amesema.

Halmashauri ya wilaya ya Mtama ni moja ya miongoni mwa Halmashauri zilizokuwa hazina majengo ya Utawala, hivyo kutokana na kuwepo kwa  adha hiyo ya kukosekana kwa ofisi serikali iliona umuhimu wa kujengwa kwa jengo la ofisi za Halmshauri.























Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • VIJIJI VYOTE 523 LINDI VYAPATA UMEME

    May 06, 2025
  • UJENZI WA UDSM TAWI LA LINDI WAFIKIA 45%, RC TELACK APONGEZA NA KUSISITIZA KASI NA UBORA WA UJENZI

    May 05, 2025
  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.