• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

RUANGWA DC YAKABIDHIWA ZANA ZA KILIMO, WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MAKABIDHIANO

Posted on: February 22nd, 2025

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, leo Februari 22, 2025 ameshuhudia makabidhiano ya trekta tano kati ya Wizara ya Kilimo na Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa ikiwa ni utekelezaji wa awamu ya kwanza ya mpango wa Serikali wa kukabidhi zana za kilimo kwenye vituo 45 vya zana nchini.

 

Akizungumza wakati wa Makabidhiano hayo Mheshimiwa Majaliwa amewataka wananchi watakaopata fursa ya kutumia matrekta hayo ili yaweze kudumu kwa muda mrefu, kuleta tija na kutimiza malengo yaliyokusudiwa

 

“Tunauzoefu wa matrekta tuliyoyaleta kipindi cha nyuma, hayakudumu kwa kuwa baadhi yetu tulikuwa tunayatumia kulima kwenye visiki, hii sio sawa, yatunzeni ili yale malengo tuliyoyakusudia ya kuendeleza sekta ya kilimo yaweze kutimia”

 

Kadhalika Mheshimiwa Majaliwa amesema Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imeandaa mpango wa kuhifadhi maji yanayotiririka katika mabonde ya Mpumbe, Nanguruwe, Mnindu, na lililopo eneo la Lucas Malia ili yatumike kwa kilimo cha umwagiliaji.

 

Kwa Upande wake Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dkt Hussein Mohamed Omary, amesema Ugawaji wa Matrekta hayo ni maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya kuendeleza Sekta ya Kilimo ili kuongeza tija kwa wakulima.

 

Amesema katika awamu hiyo ya Kwanza kwa Wilaya ya Ruangwa wamekabidhi matrekta  matano, majembe matano ya kulimia, vifaa vya kuchimbia na kusafisha mashamba na kifaa cha kuvunia mazao.

 

Amesema Katika awamu ya kwanza ya mpango huo Wizara ya Kilimo itaanzisha vituo 45 katika maeneo mbalimbali nchini.

 

“Lengo la Wizara ya Kilimo ni kugusa mnyororo mzima wa thamani ya mazao, na tutaendelea kutoa vifaa vingine kuhakikisha wakulima wanalima kwa tija”.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • RC TELACK AKABIDHI TUZO ZA ELIMU KWA WALIMU,WANAFUNZI NA HALMASHAURI ZILIZOFANYA VIZURI MKOANI LINDI.

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.