TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA WASIMAMIZI NA MAKARANI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025 JIMBO LA LIWALE
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Liwale anawatangazia waombaji wa nafasi ya Msimamizi wa Kituo, Msimamizi Msaidizi wa Kituo na Karani Mwongozaji Wapiga Kura kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kufika kwenye Usaili tarehe 18/10/2025 kuanzia saa 2:00 Asubuhi kwenye vituo vifuatavyo:- 1.Tarafa ya Kibutuka, kituo ni Shule ya Sekondari Kibutuka. 2.Tarafa za Liwale Mjini na Makata, kituo ni Shule ya Sekondari ya kutwa Liwale (Liwale Day). Orodha kamili ya majina ya walioitwa kwenye usaili inapatikana kwenye tovuti ya Halmashauri
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.