• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Government Communication
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

UJENZI WA BANDARI YA BIL. 266 KUKAMILIKA KWA WAKATI KILWA LINDI.

Posted on: August 20th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack ametembelea kuona nakukagua  ujenzi wa mradi mkubwa wa bandari ya uvuvi ya kisasa inayojengwa Wilayani kilwa Mkoani Lindi yenye thamani ya Bil 266, na kuridhishwa na hatua ya ujenzi wa bandari hiyo inayojengwa na kampuni ya Chinese Harbour.

Mhe. Telack akizungumza mara baada ya kukagua ujenzi huo amesema kuwa kwa hatua ambayo ujenzi umefikia hadi sasa ni wazi kuwa mradi utakamilika kwa wakati ambapo mkataba unaonesha mwisho wa ujenzi ni Februari, 2024.

Kwa upande wake Mkandarasi Msaidizi wa kampuni hiyo Ndugu Aren Kapwa amesema kuwa hadi sasa ujenzi umefikia 72% ikiwa matarajio kufikia 66 hivyo wamevuka lengo, kwani majengo na miundombinu mingine imefikia hatua nzuri .

Mhe. Telack amesisitiza kuendelea kufanya kazi kwa kuzingatia muda na ubora .

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • UTEUZI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI

    November 17, 2025
  • MNADA WA PILI RUNALI; KOROSHO ZAUZWA KWA BEI YA JUU TSH 2730 NA YA CHINI TSH 2590

    November 16, 2025
  • MHE. DKT. SAMIA : SHULE ZA SEKONDARI ZA SAYANSI ZA WASICHANA NA VIPAJI MAALUM KWA WAVULANA KUKAMILISHWA KILA MKOA

    November 15, 2025
  • RAS LINDI: MFUMO WA GoTHOMIS NI LAZIMA KATIKA VITUO VYA AFYA

    November 14, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.