• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

USHIRIKA LINDI YATEKELEZA MSINGI WA SABA KWA KUIGUSA JAMII YA GEREZA KUU LINDI

Posted on: May 18th, 2025

Uongozi wa vyama vya ushirika mkoani Lindi umeonesha moyo wa huruma na mshikamano kwa jamii kwa kutoa msaada kwa wafungwa na mahabusu walioko katika gereza la mkoa huo.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha ushirika RUNALI Ndugu Odas Mpunga alisema kuwa msaada huo umetolewa ikiwa sehemu ya nguzo ya saba ya ushirika .

Kwa upande wake Mrajisi Mkoa wa Lindi Ndugu Keneth Shemdoe amesema kutekeleza nguzo ya saba ni  utaratibu wa kawaida ambao ushirika utaendelea kutoa huduma mbalimbali kwa jamii .


Shemdoe amesema kuwa  hatua hiyo inalenga pia kupunguza mzigo kwa uongozi wa gereza katika kuhakikisha ustawi wa wahitaji walioko ndani ya mfumo wa haki jinai.

Aidha, Afande Christopher Yona Mwenda kamishina Msaidizi wa Jeshi la Magereza  amesema kuwa msaada huo  wameupokea kwa furaha na kuushukuru uongozi wa vyama vya ushirika kwa moyo wa kujali. Walisema kuwa msaada huo ni wa kipekee na unaonesha mshikamano wa jamii na wale walioko kwenye changamoto ya kisheria.


Msaada uliotolewa umeelezwa kuwa ni pamoja na mahitaji ya kibinadamu kama sabuni, vyakula, na bidhaa za usafi, na umepokelewa kama ishara ya kujali utu wa wafungwa na mahabusu.

Uongozi wa vyama vya ushirika umetakiwa kuwa mfano kwa taasisi nyingine katika kuunga mkono juhudi za kijamii na kibinadamu.


@ushirika_tcdc

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • RC LINDI - WAKULIMA MSIKUBALI KULANGULIWA

    May 19, 2025
  • RC ZAINAB TELACK MGENI RASMI JUKWAA LA MAENDELEO YA USHIRIKA 2025

    May 18, 2025
  • USHIRIKA LINDI YATEKELEZA MSINGI WA SABA KWA KUIGUSA JAMII YA GEREZA KUU LINDI

    May 18, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI APONGEZA MAANDILIZI MAZURI YA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU MANISPAA YA LINDI

    May 17, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.