• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

Viongozi mkoani Lindi watakiwa kuchukua hatua kwa wamliki wa washamba yasiyoendelezwa

Posted on: January 9th, 2020

Naibu waziri Angelina Mabula amewataka viongozi wa mkoa wa Lindi kuchukua hatua kwa wamiliki wa mashamba yote yaliyotelekezwa na yasiyoendelezwa.

Mhe. Mabula ameyasema hayo katika kikao chake alichofanya katika ofisi ya mkuu wa mkoa, kikao amabacho kiliwahusisha viongozi katika sekretarieti ya mkoa, taasisi  zilizo chini ya wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, pamoja na wataalam wa ardhi kutoka manispaa ya Lindi.

Naibu waziri mabula amesema mkoa unajumla ya mashamba makubwa 136 kati ya hayo mashamba 60 yameendelezwa, mashamba 56 yametelekezwa huku mengine yakiwa hayajaendelezwa.

Hivyo ameuagiza uongozi wa mkoa kuhakikisha wanazisimamia halmashauri zichukue hatua kwa wamiliki wa mashamba hayo ikiwa ni pamoja na kuwaandikia ilani ya siku 14 ya kuwataka wayaendeleze mashamba hayo. Aidha pamoja na kuwapa ilani watapaswa pia kuchukua hatua ikiwa ni pamoja na kuwany’ang’anya endapo hakutakuwa na majibu au uendelezaji kutokana na ilani waliyowapatia.

Kuhusu mashamba ambayo yamefutwa umiliki wake na kurejeshwa serikalini, Mhe. Mabula amezitaka halmashauri kutokimbilia kupima viwanja badala yake wanatakiwa kuandaa mipango ya matumizi ya mashamba hayo ikiwa ni pamoja na kutafuta wawekezaji wengine ambao watakuwa tayari kuja kuwekeza kwa shughuli mbalimbali.

Vilevile uongozi wa mkoa umeagizwa kufanya tathmini katika mashamba yote makubwa ili kuona hali ya uvamizi katika mashamba hayo na kuona ni namna ya kufanya katika kuzuia uvamizi huo.

Hivyo basi amewataka viongozi wa halmashauri na manispaha ya Lindi kuongeza kasi ya upimaji wa maeneo na urasimishaji makazi, ikiwa ni pamoja na upimaji wa maeneo ya  serikali  ili yasivamiwe. Pia ameziagiza halmashauri kuwa na mkakati maalumu wa ukusanyaji maduhuri ili ziweze kufikisha malengo yariyo wekwa kwani kwa sasa hali ya ukusanyaji hipo chini. Hii ni pamoja na kuwachukulia hatua kwa mujibu wa kisheria wamiriki wote wa viwanja na mashamba amabao wajaripa kodi za ardhi.

Waziri Mabula alisema licha kwamba kuna shida ya watumishi nchi mzima, tunatakiwa kuwa na watumishi 2900 katika idara ya ardhi nchi nzima lakini tunawatumishi 1500 na kupungukiwa na watumishi wanaopata 1400, hivyo aliwataka  watumishi waliopo wafanye kazi kwa bidii katika taasisi na halmashauri walizopangiwa wakati serikali ikiendelea na jitihada zakuajiri watumishi wengine .

Aidha, amewasihi viongozi kuhakikish wanatembelea masijara za ardhi zilizopo katika maeneo yao kwani kuwepo na tatizo la utuzaji mbovu wa fairi, mafairi kukosa nyaraka za msingi na mafairi kutoonyesha mawasiliano kati ya afisa mmoja kwenda kwa mwingine pamoja na ucheleweshwaji wa utengezaji wa hati.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • RC TELACK AKABIDHI TUZO ZA ELIMU KWA WALIMU,WANAFUNZI NA HALMASHAURI ZILIZOFANYA VIZURI MKOANI LINDI.

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.