• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

WAFANYABIASHARA WA LINDI WAASWA KUITAFUTA ELIMU YA KAIZEN

Posted on: May 24th, 2023

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Bw.  Majid Myao akiwa mgeni rasmi kwenye warsha ya uhamasishaji wa falsafa ya KAIZEN kwa wazalishaji na watoa huduma wa Lindi, amewataka wamiliki wa Viwanda na Wajasiriamali kuifanya Kwa vitendo Falsafa ya KAIZEN.

Akiwahutubia wadau waliojitokeza kwenye warsha hiyo iliyofanyika tarehe 24 Mei, 2023 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bw. Myao amesema kuwa falsafa ya KAIZEN inaimarisha mfumo wa uzalishaji na utoaji wa huduma bora. 

Bw. Myao ameongeza kuwa kupitia falsafa hii uzalishaji na utoaji wa huduma utakuwa na tija na utachochea maendeleo ya mmoja mmoja, taasisi pamoja na Mkoa kwa ujumla.

Nae Mkuu wa Kitengo cha KAIZEN kutoka Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Bw. Richard Pweleza amesema kuwa lengo la warsha hii ni kuwahamasisha wadau ili waweze kujisajiri na kupatiwa rasmi mafunzo ya falsafa ya KAIZEN.

Bw. Pweleza ameongeza kuwa lengo kuu la kuanzisha Falsafa ya KAIZEN nchini Tanzania mwaka 2013 lilikuwa ni kuboresha uzalishaji wa bidhaa na huduma katika viwanda.

Kwa upande wake, Mkuu wa Idara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Dkt. Bora Haule amesema kuwa falsafa ya KAIZEN imekuja kwa muda muafaka katika mkoa wa Lindi ambao umezungukwa na fursa mbalimbali.

Dkt. Bora ameendelea kwa kuwataka wajasiliamali, wazalishaji wadogo,  wakubwa na wafanyabiashara wote kuipokea falsafa ya KAIZEN ili iwaandae kuzipokea fursa za miradi mikubwa ya uchakataji wa gesi asilia, LNG, Kampuni za madini pamoja na ujenzi wa bandari kubwa ya uvuvi ambazo zinaanza muda mfupi ujao katika Mkoa wa Lindi.

Warsha ya uhamasishaji wa falsafa ya KAIZEN imefanyika mkoani Lindi ikiendeshwa na wataalam kutoka Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara ikiwahusisha wadau mbalimbali ikiwemo watoa huduma za Benki, SIDO, wajasiliamali, wazalishaji wa chumvi na wengine.















Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • RC TELACK AKABIDHI TUZO ZA ELIMU KWA WALIMU,WANAFUNZI NA HALMASHAURI ZILIZOFANYA VIZURI MKOANI LINDI.

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.