• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

WAKUU WA WILAYA WAPYA WAAPISHWA.

Posted on: June 23rd, 2021

Leo Wakuu wa Wilaya wateule Mhe. Hassan  Ngoma na Judith Nguli wameapishwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab R. Terack katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi. Mhe. Hassan Ngoma  rasmi anaanza kazi ya Ukuu wa Wilaya ya Ruangwa na Mhe. Judith Nguri akikabidhiwa majukumu ya Ukuu wa Wilaya ya Liwale. Wah. Wakuu wa wilaya hao wameapishwa leo baada ya kuteuliwa rasmi na Mhe. Rais tarehe  19 Juni 2021 kushika  nafasi hizo za kuwaongoza wananchi  wa Wilaya za Ruangwa na Liwale.

Aidha, baada ya kuwaapisha Wakuu hao wa Wilaya, Mhe. Zainab R. Terack pamoja na kuwapongeza kwa kuteuliwa na Mhe. Rais amewataka kutumia nafasi hiyo kuwatumikia wananchi vizuri kwa kushirikiana na Makatibu Tawala wa Wilaya na watendaji wengine.  Amewaeleza kuwa Ukuu wa Wilaya ni kazi ya kufahamu mambo yote ikiwemo kilimo, mifugo, kilimo cha mwani, afya, miundombinu, elimu nk, hivyo inapaswa kusimamia vizuri miradi ya serikali na maendeleo kwa ujumla .

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa Mhe. Makwinye amewaasa Wakuu wa Wilaya kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia ilani ya CCM ikiwemo kufanya kazi kwa ushirikiano na viongozi wa CCM.

Kwa niaba ya Wakuu wa Wilaya zote za Mkoa wa Lindi, Mhe. Hassan Ngoma ameahidi kufanya kazi usiku na mchana ili kufikia malengo ya maendeleo kwa kuzingatia miongozo, taratibu, sheria na kanuni za serikali na chama tawala, CCM.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • UJENZI WA UDSM TAWI LA LINDI WAFIKIA 45%, RC TELACK APONGEZA NA KUSISITIZA KASI NA UBORA WA UJENZI

    May 05, 2025
  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.