• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

WANANCHI LINDI WAASWA KUTUNZA MIUNDOMBINU YA ANWANI ZA MAKAZI

Posted on: April 13th, 2022

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amefanya ziara katika mkoa wa Lindi kwa lengo la kufanya thathmini ya utekelezaji wa zoezi la uandikishaji wa Anwani za Makazi katika mkoa wa Lindi, kupata changamoto na kutoa hamasa ya ushiriki wa wananchi katika zoezi hilo.

Akitoa taarifa ya mkoa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa,  Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Shaibu Ndemanga amesema “Kama mkoa tumeweza kufikia lengo kwa asilimia 98 ya uandikishaji huku kazi kubwa tuliyobakiwa nayo ni uwekaji wa nguzo katika mitaa mbalimbali ambapo hadi kufikia wiki ijayo tunatarajia kuikamilisha kazi hii. Laini pia kazi hii imesaidia mkoa kuimarisha uhusiano na ushirikiano na taasisi nyingine za mawasiliano kama TTCL na Posta”

Mhe. Ndemanga ameongeza kuwa kama mkoa umeweza kukumbana na changamoto mbalimbali wakati wa utekelezaji wa zoezi hili ikiwemo changamoto ya kimtandao iliyopelekea mfumo kutokua stable pamoja na kutopatikana kwa taarifa za wamiliki hasa wamiliki za ardhi.

Aidha, Mhe. Nape ametoa pongezi kwa uongozi wa Mkoa na Wananchi kwa ushirikiano walioutoa wakati wa utekelezaji wa zoezi hili na kupelekea Mkoa kuwa miongoni mwa Mikoa Kumi Bora katika utekelezaji wa zoezi hili na kuwataka viongozi kushirikisha wananchi katika utoaji wa majina ya barabara ikiwemo kutoa majina yatakayohifadhi historia ya maeneo husika.

“Tutumie mfumo huu kutunza historia ya maeneo yetu na hasa wanachi na viongozi kutoa majina ya mitaa na barabara yanayoendana na historia ya maeneo husika au majina ya viongozi wetu waasisi wa Taifa. Mfano kwa hapa Lindi mnaweza kutoa jina la barabara ya Tendaguru.

Waziri Nape pia amewataka wananchi kulinda miundombinu inayotumika katika zoezi hili ikiwemo nguzo ambazo zimetengenezwa kwa vyuma ili isije kuharibiwa na baadhi ya watu kwa maslahi yao binafsi kama matumizi ya biashara ya chuma chakavu.

Mfumo wa Anwani za Makazi na Postikadi unaoendeshwa Kidijitali ni sehemu ya maandalizi ya Sensa ya Watu na unatarajiwa kukabidhiwa kwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  ifikapo Mei 22, 2022.

 

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • VIJIJI VYOTE 523 LINDI VYAPATA UMEME

    May 06, 2025
  • UJENZI WA UDSM TAWI LA LINDI WAFIKIA 45%, RC TELACK APONGEZA NA KUSISITIZA KASI NA UBORA WA UJENZI

    May 05, 2025
  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.