• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

WATUMISHI LINDI WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA USHIRIKI YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KUJIFUNZA MENGI

Posted on: June 22nd, 2025

Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Bi. Zuwena Omary amewataka watumishi wa Mkoa wa Lindi kutumia fursa ya ushiriki wa  Maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma  Kitaifa 2025 kujifunza mambo muhimu kutoka taasisi na Ofisi zingine zingine ambazo zimeshiriki Maadhimisho hayo.


Katibu Tawala ametoa wito huo leo Juni 22, 2025 alipotembelea viwanja vya maadhimisho hayo Chinangali Jijini Dodoma yaliyoanza Juni 16 na kutarajiwa kuhitimishwa Juni 23, 2025.


" ushiriki wetu katika Maadhimisho haya wamuhimu sana yanatupa fursa ya kujifunza kutoka kwa wengine hivyo tunapaswa kuzingatia na kuona wengine wanafanya nini ili kuwa bora katika utendaji wa kazi "  Katibu Tawala Bi. Zuwena Omary .


Sambamba na hilo, amewapongeza watumishi wa mkoa wa Lindi kwa ubunifu na ushiriki wa Maadhimisho muhimu katika kuboresha utendaji wa kazi.


Awali, Katibu Tawala Msaidizi Utawala Ndugu Nathalis Linuma akitoa taarifa fupi ya namna mkoa wa Lindi ulivyoshiriki maadhimisho hayo , amesema Halmashauri zote za Mkoa wa Lindi zimeshiriki katika wiki ya utumishi wa umma na kila halmashauri imeweza kuonesha kitu cha tofauti katika kuboresha utoaji wa huduma kama vile One-Stop Centre kutoka Halmashauri ya Nachingwea, Utunzaji wa misitu kidigitali na mchakato wa uvunaji hewa Ukawaa kutoka Halmashauri ya Mtama, kadi_Alama kutoka  Hospitali ya Mkoa ambayo inawezesha kuona na kuhamasisha utendaji wa kazi na fursa za uwekezaji zilizopo katika Halmashauri zote.


Aidha, Katibu Tawala Bi. Zuwena Omary, amepata fursa ya kutembelea mabanda mbalimbali ikiwemo TPDC ambapo ameweza kuona  kupitia video namna mradi wa gesi  LNG wa Lindi unavyotarajiwa kutekelezwa ,  mabanda mengine aliyotembelea ni EWURA, LATRA, Mbeya RS na TFS ambako ameona na kupata tiba asili ya kudungwa na Nyuki .


Kwa upande wa Watumishi wa Mkoa wa Lindi wametumia fursa hiyo kumshukuru Katibu Tawala Mkoa kwa namna ambavyo ameandaa mazingira rafiki ya wao kushiriki wa maadhimisho hayo muhimu kwao.


Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • RC TELACK AONGOZA KIKAO CHA WADAU WA KOROSHO, ATOA PONGEZI KWA MAAFISA UGANI

    July 03, 2025
  • WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATANGAZA KUTOGOMBEA TENA UBUNGE RUANGWA BAADA YA MIAKA 15 YA UONGOZI

    July 02, 2025
  • UJENZI WA CHUO KIKUU UDSM TAWI LA LINDI WAFIKIA 65%, DKT. KIKWETE APONGEZA

    June 30, 2025
  • MHE. DKT. KIKWETEARIDHISHWA NA HATUA YA UJENZI TAWI LA UDSM LINDI

    June 30, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.