• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

WAZIRI MKUU AMELITAKA JESHI LA POLISI KUCHUKUA HATUA DHIDI YA WEZI WA NONDO ZA MRADI WA AFYA NACHINGWEA

Posted on: October 23rd, 2021

Waziri Mkuu leo asubuhi katika ziara yake Wilayani Nachingwea, Mkoani Lindi ameonesha kusikitishwa kwa jeshi la Polisi kutochukua hatua dhini ya wahalifu.

Akizungumza na wafanyakazi wa hospitali ya Wilaya ya Nachingwea alipofika hospitalini hapo kukagua ujenzi jengo la wodi ya hospitali hiyo, Mhe. Majaliwa amehoji jeshi la polisi toka mwezi wa tisa kushindwa kuwachukulia hatua watendaji walioiba nondo za ujenzi wa mradi huo.  

“Kama tunakuwa na watumishi wa umma wanawaibia wananchi, halafu tunasema tunapeleleza….haiwezekani.” amesema Mhe. Majaliwa.

Aidha, amelitaka jeshi la Polisi kuchukua hatua mara moja ili watumishi wa serikali watambue wajibu wao kwa kufanya kazi kwa uadilifu na kuwaletea wananchi wa Nachingwea maendeleo. Mhe. Majaliwa amemtaka Mganga Mkuu wa Wilaya, DMO kuwa makini  katika usimamizi wa fedha za miradi kwani fedha nyingi zitaletwa Wilayani Nachingwea ikiwemo milioni 100 kwa ajili ya ujenzi wa  ICU, milioni 90 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo.

Aidha, Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack amemueleza Waziri Mkuu kuwa viongozi na watumishi wa Mikoa na Wilaya wapo tayari kusimamia fedha za miradi ya afya na elimu zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

 

 

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • NDG. NGUSA SAMIKE AKABIDHI OFISI KWA BI. ZUWENA OMARY.

    March 20, 2023
  • KAMATI YA BUNGE YASISITIZA UJENZI WA MRADI WA BANDARI YA UVUVI UMALIZIKE KWA WAKATI

    March 19, 2023
  • BALOZI WA ZIMBABWE NCHINI TANZANIA ATEMBELEA MKOA WA LINDI.

    March 14, 2023
  • MAAFISA UGANI LINDI WAKABIDHIWA PIKIPIKI.

    March 13, 2023
  • tazama zote

Video

Zambi aagiza kampuni za kukopesha fedha zichukuliwe hatua.
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.