• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YATOA VIFAA VYA UONGEZAJI MNYORORO WA THAMANI MAZAO YA MISITU WILAYANI LIWALE.

Posted on: July 1st, 2021

Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia mradi wa FORVAC unaodhaminiwa na Serikali ya Finland umetoa vifaa vya uongezaji thamani wa mazao ya misitu kwa vikundi 20 kutoka vijiji 11 vya Wilaya ya Liwale.

Tukio hilo la kukabidhi vifaa hivyo lilifanyika jumamosi,  tarehe 26 Juni 2021 kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Liwale ambapo zoezi la ugawaji wa vifaa hivyo lilifanywa na Mhe. Judith Nguli ambaye ni  Mkuu wa Wilaya hiyo. Aidha, Vifaa vilivyotolewa vyenye thamani ya Tsh. Milioni 108 ni pamoja na mizinga ya nyuki na vifaa vya kurinia asali, mashine za kuchana na kukereza mbao, mashine za kuchonga na kusafisha ubao, pikipiki za matairi matatu (guta sinoray 250 cc) kwa ajili ya kusafirishia mazao ya misitu.

FORVAC ni mradi wa uendelezaji mnyororo wa thamani wa mazao ya misitu ambayo kwa Mkoa wa Lindi unatekelezwa katika Wilaya za Liwale, Nachingwea na Ruangwa.




Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • NDG. NGUSA SAMIKE AKABIDHI OFISI KWA BI. ZUWENA OMARY.

    March 20, 2023
  • KAMATI YA BUNGE YASISITIZA UJENZI WA MRADI WA BANDARI YA UVUVI UMALIZIKE KWA WAKATI

    March 19, 2023
  • BALOZI WA ZIMBABWE NCHINI TANZANIA ATEMBELEA MKOA WA LINDI.

    March 14, 2023
  • MAAFISA UGANI LINDI WAKABIDHIWA PIKIPIKI.

    March 13, 2023
  • tazama zote

Video

Zambi aagiza kampuni za kukopesha fedha zichukuliwe hatua.
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.