Posted on: February 23rd, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack anawakaribisha wanawake wote katika kongamano la kikanda litakalofanyika wilaya ya Nachingwea tarehe 6 March, 2025 kuelekea siku ya wanawake Duniani ....
Posted on: February 22nd, 2025
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, leo Februari 22, 2025 ameshuhudia makabidhiano ya trekta tano kati ya Wizara ya Kilimo na Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa...
Posted on: February 21st, 2025
Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Bi. Zuwena omary ameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali ngazi ya Kanda, viongozi wa dini, Mkoa , wilaya, Taasisi, Mashirika pamoja wananchi kuaga mw...