Posted on: September 8th, 2025
Kwa kutambua umuhimu wa CHW's,Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe amesema kuwa serikali itaendelea kutekeleza mpango kwa kutoa mafunzo kwa watoa huduma za afya ngazi ya jamii zaidi ya laki moja...
Posted on: September 6th, 2025
Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kinga kutoka Wizara ya Afya Dkt.Otilia Gowelle amesema Serikali inatambua mchango mkubwa unaofanywa na Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii, hivyo wanapaswa kutha...
Posted on: September 3rd, 2025
Afisa Maendeleo ya Jamii wa Mkoa wa Lindi, Ndg. Charles Kigahe, ameeleza kuwa lengo la mafunzo haya ni kuwajengea uwezo wajasiriamali wadogo kushiriki na kupata tenda za serikali kupitia mfumo wa Nest...