Posted on: May 14th, 2025
USIKOSE KUFUATILIA @cloudstv ALHAMISI YA TAREHE 15 MEI 2025 MKUU WA MKOA WA LINDI ATAZUNGUMZA MENGI KUHUSU LINDI NA FURSA ZAKE....
Posted on: May 10th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake amewakaribisha wananchi na wadau wa madini wote wa ndani na nje ya nchi katika maonesho ya Madini na fursa...