Posted on: July 1st, 2021
Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia mradi wa FORVAC unaodhaminiwa na Serikali ya Finland umetoa vifaa vya uongezaji thamani wa mazao ya misitu kwa vikundi 20 kutoka vijiji 11 vya Wilaya ya Liwale.
...
Posted on: June 23rd, 2021
Leo Wakuu wa Wilaya wateule Mhe. Hassan Ngoma na Judith Nguli wameapishwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab R. Terack katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi. Mhe. Hassan Ngoma ...
Posted on: June 19th, 2021
Akizungumza kwenye mkutano uliojumuisha wakulima na wafugaji uliofanyika jana tarehe 18 Juni 2021 eneo la shule ya msingi Nangurukuru iliyopo wilayani Kilwa, Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab R. Terac...