Posted on: July 16th, 2019
Wananchi watakiwa kulima alizeti
Wananchi wa kijiji cha Mchinga II na wilaya ya Lindi wametakiwa kulima alizeti kwa wingi kwa kuwa soko la uhakika lipo.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa L...
Posted on: July 11th, 2019
Halmashauri zatakiwa kutenga fedha za upasuaji wa mabusha.
Halmashauri nchini zatakiwa kutenga fedha kila mwaka kwa ajili ya kuwezesha zoezi la kuwafanyia watu upasuaji wa mabusha.
Hayo yalisemw...
Posted on: July 8th, 2019
Bi. Madenge: Simamieni haki za binadamu.
Watendaji wa kata wilaya ya Lindi wametakiwa kusimamia haki za binadamu na upatikanaji haki kisheria.
Hayo yamesemwa na Bi. Rehema Madenge, Katibu Tawala...