Posted on: April 4th, 2019
Kayombo awataka watahiniwa kusoma kwa bidii
Katibu Tawala Msaidizi – Elimu, Ndg. Vicent Kayombo amewasihi watahiniwa wa kidato cha nne na cha sita kuhakikisha wanasoma kwa bidii.
Kayombo ameyase...
Posted on: March 23rd, 2019
Mhe. Majaliwa: Limeni muhogo soko lipo.
Wananchi wa mkoa wa Lindi na Mtwara wametakiwa kuongeza uzalishaji wa muhogo kwa kuwa tayari soko limeshapatikana.
Hayo yamesemwa na Mhe. Kassim M. Majali...
Posted on: January 2nd, 2019
Mhe. Zambi: Tumieni fedha za TASAF kujikwamua kiuchumi.
Wanufaika wa mradi wa TASAF watakiwa kutumia fedha wanazopata kujikwamua kiuchumi.
Haya yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Z...