Mkuu wa Mkoa w Lindi, Mhe. Godfrey Zambi aelezea hali ya huduma ya umeme mkoani Lindi wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM 2015-2020 katika kipindi cha Julai – Desemba, 2019 katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Lindi.
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.