Thursday 2nd, May 2024
@Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Kutokana na mikataba ya lishe iliyosainishwa kuanzia ngazi ya taifa, mkoa na wilaya, ilielekezwa kila wilaya/halmashauri kutenga fedha shilingi 1000 kwa kila mtoto mwenye umri chini ya miaka mitano (5) kuweza kutekeleza afua za lishe ili kupunguza utapiamlo.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.