HABARI PICHA: Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Abdallah Mussa Mwaipaya ametembelea banda la Maliasili na Utalii ambapo alipata fursa ya kujifunza kuhusu shughuli za uhifadhi wa mazingira, ufugaji wa nyuki na malikale.
Aidha, Mhe. Abdallah alipata wasaa wa kujionea wanyama wa mbugani waliopo katika banda la TAWA wakiwemo Duma, Simba,ndege jamii ya Tausi, Tembo na Pundamilia ambao wamekua sehemu kubwa ya kivutio kwa waoneshaji wengine na wananchi kwa ujumla.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.