MAAFISA MAENDELEO YA JAMII LINDI WATAKIWA KUWAJIBIKA.
Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Bi. Zuwena Omary amewataka maafisa Maendeleo ya jamii Mkoa wa Lindi kuwajibika katika nafasi zao ili kutatua changamoto na kufikia malengo ya jamii yenye usitawi katika nyanja zote bora.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.