WAZIRI GWAJIMA: AIPONGEZA LINDI KWA KIKAO KAZI CHA MAAFISA MAENDELEO
YA JAMII MKOA.

Waziri wa Maendeleo ya jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum. Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima MB) ameipongeza Lindi kwa kufanikisha kufanya kikao kazi cha Maafisa Maendeleo ya jamii Mkoa wa Lindi kilichofanyika leo Desemba 4' 2025 katika ukumbi wa Dokyard Manispaa ya Lindi, kwa mafanimio.
"Hongereni sana Lindi " Mhe. Gwjima.
Mhe. Gwajima, ametoa pongezi hizo kupitia ujumbe mfupi aliouandika katika ukurasa wa instagram ofisi ya mkuu wa mkoa wa Lindi sehemu ya komenti .
Ujumbe huo umepokelewa vizuri na viongozi wadau na maafisa maendeleo ya jamii kutoka kila kona za ndani na nje .
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.