CHIEF KIPENYE: TUJITOKEZE KWA WINGI KUPIGA KURA OKTOBA 29
Chief Kipenye wa kabila la Wamwera ametoa wito kwa wananchi wa Ruangwa kujitokeza kwa wingi kushiriki kupiga kura Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa kila kura ni sauti ya maendeleo na umoja wa taifa letu.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.