JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI WAPOKEA MAGARI MAPYA YA KISASA.
#vídeo Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack akikabidhi vitendea kazi kwa jeshi la polisi na uokoaji Mkoa wa Lindi Leo Oktoba 24, 2025 hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ilulu Manispa ya Lindi. Mhe. Telack ametumia fursa hiyo kuvipongeza vyombo vya ulinzi na usalama na kuwataka kuendelea kudumisha ulinzi na usalama wa wananchi na mali zao Mkoa wa Lindi.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.