• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

JUMLA YA MILIONI 750 KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA KATA MVULENI, MANISPAA YA LINDI.

Posted on: October 22nd, 2021

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa leo amehitimisha  ziara yake ya kukagua miradi ya serikali Mkoani Lindi ambapo ametembelea na kushiriki katika ujenzi wa kituo cha afya kata ya Mvuleni iliyopo tarafa ya Mchinga, Manispaa ya Lindi.

Akisoma taarifa ya mradi huo mbele ya Waziri Mkuu, Mganga Mkuu wa Wilaya ya Lindi ameeleza kuwa mradi wa kituo cha afya umeanza kwa hatua ya awali kujenga jengo la wagonjwa, maabara, miundombinu ya kuchomea taka pamoja na shimo la kutupia mifuko ya uzazi. Miundombinu yote kwa hatua ya awali itagharimu jumla ya Tsh.  milioni 250 iliyotolewa na serikali.

Akizungumza na wananchi wa kata ya Mvuleni, Mhe. Majaliwa amempongeza mbunge wa jimbo la Mchinga Mhe. Salma Kikwete kwa kuwasemea wananchi wa jimbo lake vizuri.

Aidha, Mhe. Majaliwa amewaeleza wananchi hao kuwa baada ya kituo hicho cha afya kukamilika, serikali italeta fedha zingine milioni 250 kwa ajili ya ujenzi wa majengo mengine ya upasuaji mkubwa na mdogo, jengo la mama na watoto, nyumba ya daktari na chumba cha maiti. Mhe. Majaliwa amesema baada ya kumalizika majengo yote serikali italeta tena jumla ya Tsh. Milioni 250 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kituo hicho, hivyo kufanya jumla yaTsh.  Milioni 750 kukamilisha kituo hicho.

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Zainab Telack akiahidi kusimamia ujenzi wa kituo hicho, amewapongeza wananchi wa kata ya Mvuleni kwa kutoa ardhi yao kwa ajili ya maendeleo bila malipo yoyote

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • NDG. NGUSA SAMIKE AKABIDHI OFISI KWA BI. ZUWENA OMARY.

    March 20, 2023
  • KAMATI YA BUNGE YASISITIZA UJENZI WA MRADI WA BANDARI YA UVUVI UMALIZIKE KWA WAKATI

    March 19, 2023
  • BALOZI WA ZIMBABWE NCHINI TANZANIA ATEMBELEA MKOA WA LINDI.

    March 14, 2023
  • MAAFISA UGANI LINDI WAKABIDHIWA PIKIPIKI.

    March 13, 2023
  • tazama zote

Video

Zambi aagiza kampuni za kukopesha fedha zichukuliwe hatua.
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.