• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mkoa wa lindi

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa na serikali za mitaa Mkoa wa lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA WA LINDI YAKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO HALMASHAURI YA MTAMA

Posted on: February 10th, 2026

Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Lindi, ikishirikiana na wataalam kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi, imefanya ziara rasmi ya ukaguzi wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mtama.


Ziara hiyo imefanyika Februari 10, 2026, ikiongozwa na Katibu wa CCM Mkoa wa Lindi, Ndg. Barnabas Y. Essau, akiwa ameambatana na muwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ndg. Juhudi Mgallah, Katibu Tawala Seksheni ya Mipango na Uratibu. Ziara hiyo pia ilihusisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama, Ndg. Anderson Msumba, Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Lindi, Wajumbe wa Kamati ya Siasa ngazi ya kata, pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri ya Mtama.


Baada ya kutembelea na kujionea utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo, Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Lindi ilieleza kuridhishwa na kasi na ubora wa utekelezaji wa miradi hiyo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 123, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inayolenga kuwaletea wananchi maendeleo endelevu.


Akizungumza wakati wa ziara ya ukaguzi wa mradi wa Kituo cha Mabasi Mtama, Katibu wa CCM Mkoa wa Lindi, Ndg. Barnabas Essau, alisema mradi huo unaotekelezwa kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 2.4 kupitia mapato ya ndani ya halmashauri, unalenga kuboresha miundombinu ya usafiri na kuongeza ufanisi wa huduma kwa wananchi.


Aidha, Kamati hiyo ilitembelea mradi wa Shule ya Sekondari ya Amali Mpenda wenye thamani ya shilingi bilioni 1.6, pamoja na mradi mkubwa wa maji wa Nyangao unaotekelezwa kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 119, unaotarajiwa kuhudumia vijiji 64 pindi utakapokamilika.


Ziara hiyo ni sehemu ya utaratibu endelevu wa ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo unaolenga kuimarisha uwajibikaji, kuongeza ufanisi wa utekelezaji, na kuhakikisha miradi inatoa matokeo chanya na yenye tija kwa wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama.





Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA WA LINDI YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI RUANGWA

    February 10, 2026
  • KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA WA LINDI YAKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO HALMASHAURI YA MTAMA

    February 10, 2026
  • RC LINDI : KAMBI MAALUM YA UPASUAJI WA MABUSHA KUANZA KUTOLEWA BURE FEBRUARI 9 HADI 25, 2026 HOSPITALI YA RUFAA SOKOINE

    February 06, 2026
  • TANGAZO: FOMU YA MAOMBI YA USAJILI WA WAANDAAJI WA MAUDHUI MTANDAONI

    February 02, 2026
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.