• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mkoa wa lindi

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa na serikali za mitaa Mkoa wa lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

RC LINDI : KAMBI MAALUM YA UPASUAJI WA MABUSHA KUANZA KUTOLEWA BURE FEBRUARI 9 HADI 25, 2026 HOSPITALI YA RUFAA SOKOINE

Posted on: February 6th, 2026

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack, ametangaza kuanza kwa kambi maalumu ya Upasuaji wa Mabusha itakayofanyika kuanzia tarehe 9 hadi 25 Februari, 2026 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Lindi – Sokoine. Akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 6, 2026, ofisini kwake, Mhe. Telack amesema kambi hiyo inalenga kuwahudumia wananchi wanaosumbuliwa na matatizo ya mabusha, ambapo jumla ya wananchi 500 wanatarajiwa kunufaika na huduma hiyo bila malipo. Mhe. Telack amebainisha kuwa Kambi hii ni sehemu ya jitihada za Serikali za kuboresha huduma za afya na kudhibiti Magonjwa Yasiyopewa Kipaumbele ikiwemo na Mabusha. Aidha, ameeleza kuwa gharama zote za uchunguzi, upasuaji pamoja na chakula kwa wagonjwa watakaolazwa zitagharimiwa kikamilifu na Serikali. Aidha, Mhe.Telack amewahimiza wananchi wa Mkoa wa Lindi kujitokeza kwa wingi na kuwahamasishana kufika hospitalini kwa ajili ya kupata huduma na kuongeza kuwa kambi hiyo itahusisha madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na wataalamu wa afya wa Mkoa wa Lindi, hatua itakayohakikisha huduma bora na salama kwa wagonjwa wote. Kwa upande wake, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Dkt. Kheri Kagya, ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi katika Kambi hiyo ili kupata huduma stshiki na kuongeza kuwa Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Lindi Sokoine imejipanga kikamilifu kuhakikisha wananchi wanapatiwa huduma ya upasuaji bila gharama yoyote.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA WA LINDI YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI RUANGWA

    February 10, 2026
  • KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA WA LINDI YAKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO HALMASHAURI YA MTAMA

    February 10, 2026
  • RC LINDI : KAMBI MAALUM YA UPASUAJI WA MABUSHA KUANZA KUTOLEWA BURE FEBRUARI 9 HADI 25, 2026 HOSPITALI YA RUFAA SOKOINE

    February 06, 2026
  • TANGAZO: FOMU YA MAOMBI YA USAJILI WA WAANDAAJI WA MAUDHUI MTANDAONI

    February 02, 2026
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.