Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Bi. Zuwena Omary anawakaribisha wananchi wote wa Mkoa wa Lindi kushiriki mapokezi ya Mwenge wa Uhuru tarehe 26 Mei, 2025 .
Mwenge wa Uhuru utapokelewa eneo la Madangwa Sudi Halmashauri ya Mtama..
Kauli Mbiu ya Mwenge wa Uhuru 2025 inasema " Jitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa Amani na Utulivu "
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.