.
Katibu Mkuu-UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi atembelea banda la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi katika maadhimisho ya wiki ya utumshi wa Umma yanayofanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma na kupongeza Shughuli zinazofanywa za kiubunifu katika kuwatumikia wananchi ikiwemo Kadi-Alama inayotumika katika Afya, Mfumo wa ndani wa ufuatiliaji watumishi katika utendaji wa kazi, ufuatiliaji utunzaji wa Misitu kigitali na utoaji huduma ya pamoja kupitia One Stop Centre .
Mkoa wa Lindi ni miongoni mwa Mikoa Mitano Nchini ambayo imeshiriki Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma .
Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma imeshirikisha Wizara 23, Mikoa 5, Halmashauri 3 na taasisi za umma 101 zimeshiriki.
@tume_utumishiwaumma
@ortamisemi
@msemajimkuuwaserikali
@zainabutelacky
@jirized
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.