Kongamano la wanawake kanda ya kusini litafanyika wilaya ya Nachingwea Mkoa wa Lindi .
Kongamano hilo linatarajiwa kufanyika March 6, 2025 ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa majaliwa (MB)
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.